Monday, 21 May 2012

ALIYEKUWA MBUNGE WA KISAUNI BW ANANIA MWABOZA AKIHUTUBIA WAKAZI

Video hii inamuonyesha aliyekuwa wakati mmoja mbunge wa Kisauni Bw Anania Mwaboza akizungumza na wakazi baada ya kuongza shughuli ya upanzi wa mikoko katika ufuo wa bahari wa Kidongo katika eneo la Majaoni-Shanzu.

No comments:

Post a Comment